Mimi ni mwanafunzi wa Kiswahili.Sasa ninakaa katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano ya Habari cha China.Ninajua kwamba kama wasipokuwa watu wanavyoongea Kiswahili pamoja nami wakati wote,sitazungumza Kiswahili kama mwenyeji.Ndiyo maana nimekuja kuzoea.Unataka kunisaidia?
