斯瓦希里语吧 关注:319贴子:1,227
  • 2回复贴,共1

你被黑叔叔抓到警察局咋办?

只看楼主收藏回复

Jua haki yako unapokamatwa na Polisi
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.Mwulize jina lake
Mwulize namba yake ya uaskari
Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa(被抓,被传讯).
Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi(通知亲属及工作单位) kwamba ama amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
Raia ana haki ya kuomba na kupewa dhamana(保释)wakati akiwa kituo cha polisi ama Taasisi ya kuzuia rushwa(反贪局).
Hutakiwi kutoa fedha kama dhamana uwapo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa, isipokuwa maelezo utakayoandika.
Raia ana haki ya kuwaeleza polisi ama Maafisa wa Kuzuia Rushwa kwamba lolote atakalosema linaweza kutumiwa kama ushahidi mahakamani(你说说的每一句话都将成为呈堂证供), na asiburuzwe kuandika tu.
Raia ana haki ya kuomba Wakili(律师)wake awepo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa wakati anatoa maelezo yake.
Raia ana haki ya kuyasoma kabla ya kutia sahihi yake.
Raia ana haki ya kudai risiti ya orodha ya vitu vyake/fedha zake alizozitoa ama kukabidhi kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
Raia kama ni mwanamke ana haki ya kupekuliwa na(被搜查 -pekua) polisi wa kike, na iwapo hakuna polisi mwanamke, basi mwanamke yeyote na vile vile kwa mwanamume.
Raia ana haki ya kufikishwa mahakamani katika muda usiozidi saa 24 tangu alipokamatwa na kufikishwa kituo cha polisi(从被抓到警察局的24小时内移交给法庭).


1楼2016-03-29 10:40回复
    求顶贴,谢谢大家!


    2楼2016-03-29 13:51
    回复
      2025-05-28 19:21:35
      广告
      汉译贴切顺畅!


      IP属地:河南来自Android客户端3楼2022-05-25 21:13
      回复